- 228 viewsDuration: 1:47Wakazi wa Mombasa leo wameshiriki matembezi maalum ya kuhamasisha wananchi kujisajili kuwa wapiga kura. Matembezi hayo yalio anzia Nyali hadi Bustani ya mama ngina yalitumika pia kuonya vijana kuhusu matumizi ya mihadarati, na ujambazi hususan msimu huu wa krismasi. Viongozi walitumia mda huo kuwaelemisha vijana kuhusu kujenga kesho yao kupitia maamuzi yao huku swala la nidhamu na udilifu likipewa kipau mbele.