- 10,359 viewsDuration: 3:38Aliyekuwa mtangazaji mashuhuri wa shirika la utangazaji nchini KBC Amina Fakii amefariki. Fakii aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 83 na akazikwa katika maziara ya Ngong kwa mujibu wa kaida za dini ya Kiislamu. Marehemu Fakii alijiunga na shirika la utangazaji nchini KBC mnamo mwaka 1963 wakati ilipokuwa ikijulikana kama Sauti ya Kenya na akapata umaarufu kutokana na umahiri wake wa utangazaji na kimalizio chake cha “ciao” alipokuwa akihitimisha kipindi chake. Wale waliowahi kufanya kazi naye wamesema alikuwa mshauri na kielelezo cha wengi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive