- 255 viewsDuration: 1:42Majonzi na simanzi zilitanda wakati wa ibada ya pamoja ya watu kumi na wanane waliofariki kwenye ajali mbili tofauti huko Chabera Homa Bay na Ekerenyo Nyamira iliyoandaliwa katika kanisa Katoliki la Rangenyo viungani mwa mji wa Nyamira.