Skip to main content
Skip to main content

Nauli zapanda huku mahitaji ya usafiri yakiongezeka

  • | KBC Video
    240 views
    Duration: 5:35
    Wakenya wanaosafiri kuelekea mashambani wanapaswa kujiandaa kwa nauli zilizopandishwa kwani waendeshaji wa magari ya uchukuzi wa umma wanatumia fursa ya wingi wa abiria wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali za nchi kusherehekea sherehe hizo kuongeza nauli.Ukaguzi uliofanywa na runinga ya KBC Channel 1 ulionyesha kuwa nauli za mabasi hupandishwa na kuongezeka maradufu ya gharama ya kawaida ya usafiri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive