Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wanaojiunga na Gredi ya 10 waruhusiwa kubadili shule na masomo yao

  • | KBC Video
    54 views
    Duration: 1:28
    Waziri wa elimu Julius Ogamba, amewahakikishia wazazi na wanafunzi kwamba kipindi kilichotolewa cha siku saba cha kubadili shule walizoteuliwa kwazo kitahakikisha kwamba wanafunzi wote wanaojiunga na Gredi ya 10 wanajiunga na shule na masomo wanayoyataka. Kipindi hicho kilichoanza leo kinanuiwa kushughulikia wasiwasi ulioibuliwa na wazazi na wanafunzi ambao hawakuridhishwa na matokeo ya uteuzi wa awali wa shule. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive