Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya matabibu elfu-8 wagoma kote nchini

  • | KBC Video
    44 views
    Duration: 4:13
    Matabibu wametimiza tishio lao la kugoma na hivyo kuzifanya hospitali za umma kutumia mbinu nyingine kuziba pengo hilo. Hospitali ya Mbagathi ambayo ni mojawapo wa zile za matibabu maalum iliamua kutumia huduma za wanagenzi ambao chama cha matabibu kilionya kwamba huenda hawajatimiza viwango. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive