Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wauawa kwenye ajali ya barabara eneo la Sachangwan

  • | NTV Video
    1,312 views
    Duration: 1:08
    Watu wawili, akiwemo dereva wa lori, walifariki huku zaidi ya kumi wakijeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya Jumatano eneo la Sachangwan kwenye barabara kuu ya Nakuru–Eldoret. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya