Sekta ya kilimo inasalia kuwa miongoni mwa nguzo kuu zinazochochea uchumi na maendeleo, si Kenya pekee bali pia katika nchi nyingi barani Afrika, hali inayowafanya vijana wengi kutafuta maarifa na ujuzi wa kisasa ili kuiboresha na kuifanya iwe endelevu zaidi. Katika juhudi za kuendeleza sekta hiyo, mwanafunzi mmoja kutoka Kenya amepata fursa ya kujifunza ujuzi wa kisasa wa kilimo nchini China kupitia mchanganyiko wa masomo ya nadharia na mafunzo ya vitendo, akilenga kuongeza maarifa na uzoefu wa moja kwa moja katika kilimo.Hii hapa safari yake
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News