- 916 viewsDuration: 32sMlengaji shabaha nambari moja wa Kenya masta Ibrahim Ndung'u anadhamiria kuishindia kenya dhahabu kwenye mashindano ya dunia ya IPSC ambayo yatafanyika mjini matlosana nchini afrika kusini kati ya septemba tarehe 11 na 28 mwaka huu.