Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema kutowajibika kumelemaza maendeleo

  • | Citizen TV
    2,996 views
    Duration: 1:29
    Rais William Ruto sasa anadai kwamba Kenya imesalia nyuma kimaendeleo kwa sababu ya ukosefu wa uwajibikaji wa viongozi waliomtangulia, akijisifia kama ambaye amesukuma ajenda za maendeleo licha ya mawimbi makali ya upinzani.