- 420 viewsDuration: 3:25Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen alisherehekea siku kuu ya Krismasi na maafisa wa usalama waliopelekwa kuhudumu katika Kambi ya Todo KDF katika Kaunti Ndogo ya Kolowa, Kaunti ya Baringo.Waziri Murkomen aliwapongeza maafisa hao na kuelezea kuridhika kwake na juhudi zao za kudumisha ama ni na utulivu katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive