- 195 viewsDuration: 3:05Viongozi wa kidini wamewahimiza wakenya waeneze furaha msimu huu wa siku kuu licha ya changamoto za kiuchumi. Wakenya hata hivyo wamehimizwa wawe na imani ya hali bora ya baadaye na kumtegemea Mola kwa baraka zake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive