15 Aug 2025 4:14 pm | Citizen TV 33,753 views Duration: 1:57 Hali ya taharuki ilitanda siku kutwa katika Kaunti ya Kericho huku vurugu zikishuhudiwa wakati Gavana Erick Mutai alipokuwa akijiwasilisha katika bunge la kaunti hiyo kusikiza hoja ya kumbandua mamlakani.