- 109 viewsDuration: 3:01Familia za mitaani katika Jiji la Kisumu zilipokea chakula cha mchana siku ya Krismasi kwa hisani ya Mbunge wa Kisumu ya Kati Joshua Oron. Mbunge huyo ambaye wakati huu wa mwaka hujulikana sana kama Santa alitangamana na kusherehekea na familia hizo katika kile ambacho kimekuwa desturi kwa mamia ya familia zinazoishi katika mitaa ya Kisumu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive