- 16,002 viewsDuration: 3:02Papa Mtakatifu Leo wa kumi na nne ametumia ujumbe wake wa sikukuu yake ya kwanza ya krismasi kuhimiza amani akikariri mateso ya raia katika maeneo yanayokumbwa na ghasia dunia hasa barani Afrika, ulaya na eneo la mashariki ya kati. Akitoa ujumbe wake wa baraka ya sikukuu hii kwenye roshani ya kanisa la St Peter’s Basilica katika sikukuu ya krismasi Papa Mtakatifu huyo wa kwanza mzawa wa marekani alitoa wito kwa ulimwengu kudhihirisha imani kwa wale walioathirika kutokana na vita, kupoteza makazi na hali ngumu ya maisha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive