Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuzindua vyuo vya mafunzo ya KDF na polisi eneo la North Rift

  • | KBC Video
    988 views
    Duration: 2:19
    Serikali imekariri azma yake ya kuhakikisha amani ya kudumu katika eneo la North Rift. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, akisema kuwa amani inayoshuhudiwa katika eneo hilo inatokana na ushirikiano baina ya jamii na mashirika ya kiusalama, alikariri kwamba vyuo vya mafunzo kwa huduma ya taifa ya polisi na vikosi vya ulinzi nchini vitaanzishwa katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive