Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Nakuru yadhamiria kuimarisha mapato yake kupitia mikakati kabambe ya ukusanyaji ushuru

  • | KBC Video
    198 views
    Duration: 2:20
    Kaunti ya Nakuru inalenga kupata sehemu kubwa ya mapato yake kutoka kwa Mikutano, mikakati mbalimbali, makongamano na maonesho na sehemu zenye faida kubwa za mchanganyiko wa utalii kote ulimwenguni. Kulingana na mwenyekiti wa bodi ya utalii na mauzo David Mwangi, kaunti hiyo imeorodheshwa kidedea katika masuala ya uchumi wa sekta ya utalii na inanuia kutumia upekee wake kudumisha ushindani kwenye soko la sekta hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive