- 3,964 viewsDuration: 2:09Afisa mmoja wa polisi ameuawa huku watu kadhaa wakijeruhiwa na pikipiki mbili kuteketezwa kufuatia mzozo wa ugavi wa ardhi unaoendelea baina ya makundi mawili katika eneo la Kibiko, kaunti ya Kajiado. Kamanda wa polisi katika kaunti ya Kajiado Alex Shikondi imesema kuwa watu saba wamekamatwa kuhusiana na ghasia hizo. Kipande hicho cha ardhi cha ekari 2,800 kinachokadiriwa kuwa cha thamani yay a shilingi bilioni- 100. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive