Skip to main content
Skip to main content

Marehemu Cyrus Jirongo aandaliwa ibada ya wafu kanisani CITAM

  • | KBC Video
    2,428 views
    Duration: 5:04
    Viongozi, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu aliyekuwa waziri na mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo wameendelea kuibua maswali kuhusiana na kifo chake wakisema kuwa hali inayozingira ajali huko Naivasha inaibua maswali zaidi. Akizungumza wakati wa ibada ya wafu kwa marehemu waziri huyo wa zamani katika kanisa la CITAM jijini Nairobi, aliyekuwa seneta wa Vihiga George Khaniri alisema kuwa kuna mapengo makubwa ambayo ni sharti wachunguzi wameshindwa kuyatatu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive