Skip to main content
Skip to main content

Serikali yawahakikishia wakenya usalama wao msimu huu

  • | KBC Video
    92 views
    Duration: 2:33
    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, amewahakikishia wakenya kuwa usalama umeimarishwa kote nchini, huku maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya yakianza. Waziri Murkomen pia ametoa wito kwa vijana kujiepusha na matumizi ya dawa za kulevya na vileo, akiwahimiza kuzingatia michezo badala yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive