- 13,063 viewsDuration: 2:54Baadhi ya wafanyabiashara na wakazi wa mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi wamelalamikia kuzorota kwa miundombinu na huduma katika eneo hilo. Wamesema kuwa kando na barabara mbovu, pia wanakabiliwa na uhaba wa maji pamoja na kukatika kwa umeme mara kwa mara, hali inayowalazimu kutegemea majenereta. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive