15 Aug 2025 10:08 am | Citizen TV 5,846 views Duration: 1:02 Usalama umeimarishwa nje ya jengo hilo la bunge huku wawakilishi wadi wakijadili hoja ya kumtimua gavana Erick Mutai. hapo jana mahakama ya Kericho ilisimamisha kwa muda kujadiliwa kwa hoja ya kumtimua Mutai