15 Aug 2025 8:00 am | Citizen TV 529 views Duration: 2:11 Kuwepo kwa dhahabu katika mashamba ya wakazi katika kijiji cha Ojamii huko Teso Kusini kaunti ya Busia, kumesababisha mzozo huku majirani waking'ang'ania raslimali hiyo