- 84 viewsDuration: 2:08Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amewahimiza machifu na manaibu wao katika kaunti ya Trans Nzoia kuimarisha vita dhidi ya pombe haramu na matumizi ya mihadarati. Akizungumza katika kanisa la AIC Riwo kwneye eneo bunge la Cherangany waziri alisema kuwa Trans Nzoia ni miongoni mwa kaunti zilizo na kiwango cha juu cha unywaji pombe haramu na utumiaji mihadarati nchini akikariri haja ya kutekelezwa kwa juhudi za pamoja na serikali, kanisa na jamii kukabiliana na uovu huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive