Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa jamii ya Mijikenda wapinga uteuzi wa Mwakwere kuwa msemaji wao

  • | KBC Video
    174 views
    Duration: 2:17
    Baadhi ya wazee wa jamii ya Mijikenda wamejitokeza kupinga uteuzi wa aliyekuwa waziri Ali Chirau Mwakwere kuwa msemaji wa jamii ya Mijikenda na Pwani kwa ujumla. Wazee hao wanadai kuwa, mashauriano ya kina hayakufanyika na hatua muhimu za kitamaduni zilipuuzwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive