Baadhi ya wanafunzi Tigania wasitisha masomo kwa sababu ya baa la njaa

  • | Citizen TV
    767 views

    Baadhi ya wanafunzi katika eneo la Tigania West kaunti ya Meru wamelazimika kuwacha shule kutokana na baa la njaa linalokumba vijiji kadhaa vya kaunti hii. Ni hali iliyowalazimu baadhi ya wanafunzi kufukua mizizi angalau kupata riziki kutokana na makali ya njaa.