15 Aug 2025 7:45 am | Citizen TV 300 views Duration: 1:51 Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amezitaka serikali za kaunti kuwa makini na uwekezaji kutoka mataifa jirani ili kuhakikisha kuwa fedha hizo zinatumika vyema na kwenye miradi iliyokusudiwa