- 8,269 viewsDuration: 4:41Zaidi ya miaka 12 tangu mfumo wa ugatuzi kuanza kutumiwa nchini, kaunti ya Homa Bay inavuna matunda ya ugatuzi kutokana na miradi ya miundomsingi kama vile kujengwa kwa barabara, uwanja mdogo wa ndege na kuimarishwa kwa usafiri ziwani