Skip to main content
Skip to main content

Uhuru afoka kuhusu kununua ODM

  • | Citizen TV
    12,764 views
    Duration: 3:07
    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewajibu baadhi ya viongozi wa ODM wanaodai kuwa ana njama ya kununua chama cha hicho na kukivuruga kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Akizungumza katika mazishi ya mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo kaunti ya Kakamega hii leo, kenyatta amesema amevumilia matusi ya kutosha kutoka kwa baadhi ya viongozi akisema hatakubali kuharibiwa jina tena.