- 436 viewsDuration: 1:03SHIRIKISHO LA VOLIBOLI NCHINI KVF LIMETAJA KIKOSI CHA MWISHO CHA MALKIA STRIKERS KITAKACHOSHIRIKI MCHUANO WA DUNIA NCHINI THAILAND KUANZIA AGOSTI 22 HADI SEPTEMBA 7. MCHEZAJI BORA WA MCHUANO WA AFRIKA CHINI YA MIAKA 20 TERRY TATA IDACHI AMEJUMLISHWA KWENYE KIKOSI HICHO CHA WACHEZAJI 16.