14 Aug 2025 4:36 pm | Citizen TV 298 views Duration: 1:30 Kampuni ya kutoa huduma za usafiri wa mtandaoni ya Weego imefanya kikao chake cha pili na madereva jijini Nairobi kama njia moja ya kuboresha mawasiliano nao.