- 10,877 viewsDuration: 2:44WATOTO WAWILI WAMEKUFA MAJI MJINI MOMBASA, KWENYE TUKIO LILILOILAZIMU FAMILIA KUKATIZA LIKIZO YAKE MJINI MOMBASA. WATOTO HAWA WA MIAKA 13 NA 9 WALIZAMA KWENYE KIDIMBI CHA KUOGELEA MTAA WA NYALI. FAMILIA YA WATOTO HAWA ILIKUWA KWENYE LIKIZO KUTOKA NAIROBI