14 Aug 2025 10:53 am | Citizen TV 303 views Duration: 1:16 Ujenzi wa akademia ya michezo itakayogharimu shilingi milioni 70 umezinduliwa katika eneo la Mbiuni, eneo bunge la Mwala kaunti ya Machakos.