14 Aug 2025 10:44 am | Citizen TV 880 views Duration: 2:57 Wakulima katika kaunti ya Kiambu sasa wanafanya kwa kiasi kikubwa kilimo cha majani chai aina ya orthodox, inayoahidi mapato bora na fursa za soko la kimataifa.