14 Aug 2025 10:21 am | Citizen TV 15,361 views Duration: 2:15 Watoto wawili wamekufa maji kwenye kidimbwi cha kuogelea huko Nyali kaunti ya Mombasa.