14 Aug 2025 10:14 am | Citizen TV 665 views Duration: 4:48 Wadau mbali mbali wamekusanyika katika kaunti ya Homa Bay, huku kauli mbiu ikiwa kwa serikali kuimarisha miundombinu ya kuimarisha biashara na kutoa ajira haswa kwa vijana.