Skip to main content
Skip to main content

Trump: Tutachukua mafuta ambayo tulipaswa kuyachukua tangu zamani Venezuela

  • | BBC Swahili
    7,867 views
    Duration: 7:59
    Mpango wa kumkamata Nicolas Maduro nchini Venezuela ulisukwa kwa miezi kadhaa, lakini swali ni: ni kwanini? Mojawapo ya sababu zilizotajwa ni mafuta. Venezuela ndio taifa lenye hifadhi kubwa zaidi ya mafuta duniani, ikiwa na zaidi ya mapipa bilioni 300 yaliyothibitishwa - kwa mujibu wa shirika la nchi zinazouza mafuta Opec. Venezuela inafuatiwa na Saudi Arabia yenye zaidi ya mapipa bilioni 260, na kisha Iran yenye zaidi ya mapipa bilioni 200 ikishikilia nafasi ya tatu. Katika Dira ya Dunia TV na Peter Mwangangi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw #Trump #Venezuela #Maduro #BBCSwahiliLeo