- 6,038 viewsDuration: 2:08Huku wanafunzi wa gredi ya kumi wakitarajiwa kujiunga na shule mbalimbalimbali nchini wiki ijayo, mwanafunzi mmoja kutoka kijiji cha mulaka kata ya Bukaya eneo bunge la Mumias Magharibi ana wasiwasi iwapo ndoto yake ya kuendeleza masomo itatimia baada ya kuumia uti wa mgongo.