Skip to main content
Skip to main content

Wakristo wanaosherehekea krismasi Januari 7

  • | BBC Swahili
    17,682 views
    Duration: 1:14
    Kwa kawaida wakristo wengi duniani huadhimisha Krismasi Desemba 25, Lakini kwa wengine leo ndiyo siku yao maalum wanayoshereheea sikukuu hiyo. Sasa kwanini wakristo wa Kanisa la Orthodoksi husherehekea Krismasi Januari 7? @elizabethkazibure na maelezo zaidi... - - #bbcswahili #orthodox #krisimasi #Christmas #wakristo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw