- 11,629 viewsDuration: 4:16Mkewe marehemu Raila Odinga, mama Ida , amejitosa kwenye malumbano yanayoshuhudiwa ndani ya chama cha ODM, sasa akiwataka viongozi wanaolumbana kuacha uhasama wao. Ida sasa akiwashauri kutatua tofauti zao badala ya kuvuruga chama. alizungumza wakati wa kumbukumbu ya marehemu mumewe ambaye leo ni siku ya kuzaliwa kwake