- 856 viewsDuration: 1:33Viongozi wa upinzani sasa wanataka IEBC isitishe kandarasi ya kampuni ya teknolojia ya uchaguzi kwa madai kuwa imetumika katika wizi wa kura. Viongozi hao wakizungumza katika kaunti ya nyandarua wanadai kuwa IEBC imeongeza muda wa kampuni hiyo kuhudumu nchini kinyume na sheria.