- 1,132 viewsDuration: 2:34IDADI YA AKINA MAMA WANAOJIFUNGULIA HOSPITALI YA KAUNTI NDOGO YALUPIDA KAUNTI YA BUSIA IMEZIDI KUONGEZEKA BAADA YA WANAWAKE WALIOKUWA WAKIJIFUNGULIA NYUMBANI SASA KUFIKA KWA HUDUMA HIZI. NA SABABU YENYEWE NI KUWA SERIKALI YA KAUNTI YA BUSIA ILIANZA MFUMO WA KUWAZAWADI KINA MAMA WAJA WAZITO NA KUTUMIA WAKUNGA KUFANIKISHA HILI