17 Aug 2025 4:32 pm | Citizen TV 3,690 views Duration: 1:07 HAYA YALIPOKUWA YAKIJIRI, MAOMBI MAALUM YAMEFANYIKA KATIKA MZUNGUKO WA BARABARA YA COPTIC KAUNTI YA KISUMU AMBAKO WATU 27 WALIFARIKI KWENYE AJALI YA BARABARANI WIKI ILIYOPITA.