- 36,682 viewsDuration: 6:04Marekani inasema imekamata meli ya mafuta ya Urusi iliyokuwa ikisafiri katika Bahari ya Atlantiki Kaskazini. Moscow imeshutumu vikali kukamatwa kwa meli hiyo, ikisema hakuna taifa lenye haki ya kutumia nguvu dhidi ya meli zilizosajiliwa kihalali katika mataifa mengine. Katika Dira ya Dunia TV na Peter Mwangangi #Trump #Putin #Venezuela Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw