Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya mazishi ya katekisti, mkewe na wanawe waliyofariki kwenye ajali Gilgil yaanza

  • | KBC Video
    316 views
    Duration: 3:40
    MAANDALIZI YA MAZISHI YA KATEKISTI Marehemu alifariki pamoja na mkewe na wanao Walihusika kwenye ajali ya barabarani Karai Kijiji cha Nd’ungu katika eneo la Gatundu kaskazini , Kaunti ya Kiambu, bado kimegubikwa na majonzi kufuatia vifo vya kusikitisha vya katekisti, mke wake na watoto wao wawili wadogo waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani eneo la Karai, Naivasha mapema wiki hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive