- 1,269 viewsDuration: 2:17Washukiwa wanne walikamatwa wakati wa msako dhidi ya pombe haramu uliotekelezwa na kundi la maafisa wa mashirika mbalimbali ya kiusalama katika kaunti za Vihiga na Kakamega. Kwenye operesheni hiyo iliyoongozwa na kamanda wa polisi katika eneo la magharibi Issa Mohamud, maelfu ya lita za pombe haramu na vifaa vya utayarishaji vilinaswa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive