Chama cha madaktari, watalamu wa dawa na meno kimeelezea wasiwasi wao kuhusiana na kudhulumiwa kwa madaktari wa kigeni na baadhi ya hospitali za kibinafsi. Kulingana na KMPDU, wengi wa madaktari hao hawajaajiriwa kushughulikia uhaba wa wahudumu wa matibabu na wanalipwa mishahara ya kiwango cha chini ya ile iliyoainishwa na tume ya mishahara na marupurupu na mikataba ya maelewano.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive