Skip to main content
Skip to main content

Matokeo ya KCSE 2025

  • | Citizen TV
    8,534 views
    Duration: 2:00
    Watahiniwa 1,932 walipata alama ya 'A' kwenye mtihani wa KCSE wa mwaka wa 2025 huku matokeo ya wanafunzi 1,180 yakibatilishwa. akitangaza matokeo hayo jijini eldoret, waziri wa elimu julius migos ogamba amesema kuwa tovuti ya usajili wa tathmini za KPSEA na KJSEA itafunguliwa mwezi ujao.