- 840 viewsDuration: 3:02Baadhi ya shule za upili katika sehemu tofauti nchini zimenakili matokeo bora kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE.shule ya upili ya moi kabarak ikiwa na alama ya wastani ya 10.59, ambayo ni alama ya juu zaidi kunakiliwa kwenye mtihani wa kitaifa wa mwaka 2025.