9 Jan 2026 7:34 pm | Citizen TV 556 views Duration: 1:11 Nusu ya watahiniwa wa KCSE mwaka wa 2025 hawakupata alama za kuwawezesha kujiunga na vyuo vikuu. Asilimia 48.7 ya watahiniwa hao walipata alama ya D- kwenda chini na kuwaweka nje ya mipaka ya programu za digrii.